Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chanjo ya Pepopunda yawezesha ustawi wa watoto Kenya

Picha: UNICEF Video

Chanjo ya Pepopunda yawezesha ustawi wa watoto Kenya

Nchini Kenya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya wanatoa huduma ya chanjo kwa ugonjwa usio wa kuambukiza wa pepopunda ikiwa ni sehemu ya mikakati ya shirika hilo katika kuimarisha afya na ustawi wa watoto ulimwenguni.

Ungana na Amina Hassan katika makala inayokusimulia kwa kina namna ambavyo chanjo hii imeleta mabadiliko katika jamii.