Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ombwe katiya masikini na tajiri kikwazo cha maendeleo: Balozi Mero

UN Photo/Nicole Algranti
Balozi wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Modest Mero. Picha:

Ombwe katiya masikini na tajiri kikwazo cha maendeleo: Balozi Mero

Ombwe kati ya masikini na tajiri lazima lipunguzwe ili kuleta usawa miongoni mwa jamii. Ni kauli iliyotamalaki mjadala katika mkutano kuhusu uwiano katika maendeleo ili kukuza ujumuishwaji wa makundi ya kijamii uliofanyika mjini Geneva Uswis na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi, taasisi za kimataifa.

Lakini nini hasa kinasababisha ombwe kati ya maskini na matajiri kuongezeka? Balozi wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Modest Mero anafafanua.

(SAUTI MERO)