Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Leo ni siku ya televisheni duniani, UNESCO yasisitiza umuhimu wake

UN Photo/MB
Picha:

Leo ni siku ya televisheni duniani, UNESCO yasisitiza umuhimu wake

Leo ni siku ya televisheni duniani ikiangazia umuhimu wa chombo hicho cha mawasiliano katika kufikisha ujumbe kwa jamii.

Umoja wa Mataifa unasisistiza siyo kifaa chenyewe bali filosofia inayotolewa na chombo hicho kinachowakilisha alama ya mawasiliano na utandawazi katika ulimwengu wa sasa.

Katibu mtendaji wa tume ya taifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNECSO nchini Tanzania Dkt. Moshi Kiminzi amezungumzia umuhimu wa televisheni kwa ukanda wa Afrika Mashariki.

(SAUTI KIMINZI)