Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Onyesho la mitindo ya mavazi ya Palestina lavutia

Onyesho la mitindo ya mavazi.(Picha ya UM/Yubi Hoffmann)

Onyesho la mitindo ya mavazi ya Palestina lavutia

Mitindo ya mavazi hutoa taswira halisi ya utamaduni wa jamii husika. Kama huifahamu jamii fulani waweza kuitambua kwa kuangalia mitindo ya mavazi kwani husema kila kitu.

Taifa la Palestina hivi karibuni limedhihirisha hilo kupitia onyesho kabambe katika Umoja wa Mataiafa lililowaleta pamoja watu mbalimbali hususani kutoka nchini humo. Ungana na Abdullahi Boru katika makala itakayokupa kinagaubaga kile kilichojiri