Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hakuna ubakaji wowote huko Tabit-Darfur: UNAMID

Afisa wa Jinsia akiongea na wanawake katika kambi ya Zam Zam yenye kuhifadhi watu waliokimbia makazi yao. Picha:UNAMID/Albert Gonzalez Farran

Hakuna ubakaji wowote huko Tabit-Darfur: UNAMID

Timu ya pamoja iliyotumwa kuchunguza madai ya ubakaji dhidi ya wanawake na wasichan 200 kwenye kijiji cha Tabit, Kaskazini mwa jimbo la Darfur huko Sudan imebaini kuwa madai hayo hayakuwa na ukweli wowote.

Ujumbe wa Umoja pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMID  ulipeleka timu hiyo ikijumuisha polisi, wanajeshi na raia ambapo ilihoji wakazi mbali mbali wakiwemo viongozi wa jamii, wanaume na wanawake, walimu na wanafunzi ili kubaini ukweli wa madai hayo.

Luteni Jenerali Paul Mella ni Kamanda Mkuu wa vikosi vya UNAMID.

(Sauti ya Lt. Jenerali Mella)

Idhaa hii ilimuuliza kamanda huyo anadhani nini chanzo cha madai hayo.

(Sauti ya Lt. Jenerali Mella)

yoripotiwa na vyombo vya habari.