Uzao hadi uzao ndani ya ukimbizi na madhila yasiyo na mfano.

Sarah na mumewe Mohammed na mwanao.(Picha ya UNHCR Kenya/video capture)

Uzao hadi uzao ndani ya ukimbizi na madhila yasiyo na mfano.

Nchini Somalia, mzozo wa zaidi ya miongo miwili sasa umesababisha maelfu ya wakazi kusaka hifadhi ukimbizini. Walikosaka hifadhi ni pamoja na nchini Kenya kwenye kambi ya Dadaab ambako baadhi ya madhila ni kizazi hadi kizazi kuendelea kuongezeka bila kuwa na haki ya msingi ya utaifa. Je maisha yanakuwa namna gani? Basi ungana na Grace Kaneiya kwenye makala hii.