Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ziara ya Ban yafufua matumaini ya ujenzi wa Somalia

UN Photo/Ilyas Ahmed)
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.(

Ziara ya Ban yafufua matumaini ya ujenzi wa Somalia

Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na baadhi ya viongozi wa dunia katika nchi za pembe ya Afrika imefufua matumini kiuchumi, kijamii na hata katika usalama. 

Akiwa nchini Somalia nchi ambayo imeshuhudia machafuko kwa muda mrefu, Katibu Mkuu Ban na mkuu wa benki ya dunia Jim Yong Kim, wanahamasisha raia kuhusu ujenzi wa maendeleo na amani ili kujenga mustakabali mwema wa nchi hii. Ungana Grace Kaneiya katika makala ifuatayo.