Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Polisi jamii mkakati mpya wa kuimarisha usalama Somalia

Picha ya UM/Unifeed video capture

Polisi jamii mkakati mpya wa kuimarisha usalama Somalia

Wakati juhudi za ujenzi mpya kwa ajili ya Somalia unaolenga kuikwamua nchi hiyo  ambayo imeshuhudia machafuko kwa takribani miongo miwili ukiendelea, moja ya mikakati inayochukuliwa ni polisi jamii ambapo makundimbalimbali yanajumuishwa ili kukuza uslama.

Ungana na Joseph Msami katika Makala inayoelezea namna mpango wa  polisi jamii unavyotarajiwa kulinda amani katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika