Fahamu kuhusu mabadiliko ya tabianchi-1

21 Oktoba 2014

Mabadiliko ya tabianchi yameibua hofu juu ya mustakhbali wa sayari ya dunia na wakazi wake. Jamii, nchi na dunia nzima kwa ujumla zinachukua hatua ili kukabiliana na mabadiliko hayo ambayo yameelezwa kuwa yanatishia siyo tu maendeeo ya nchi bali pia amani na usalama. Je nini hasa maana ya mabadiliko ya tabianchi? Na ni hatua gani jamii ya kimataifa inachukua kukabiliana na mabadiliko hayo? Basi katika sehemu hii ya kwanza Dkt. Binilith Mahenge, Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais, Mazingira nchini Tanzania anaelezea kwa kina ainisho hilo alipozungumza na Idhaa hii ya Radio ya Umoja wa Mataifa.

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter