Skip to main content

Djnit ziarani Burundi afanya mazungumzo na rais Nkurunzinza

Said Djinnit.Picha ya UN

Djnit ziarani Burundi afanya mazungumzo na rais Nkurunzinza

Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika ukanda wa Maziwa Makuu Said Djinit yu ziarani nchini Burundi.Amekuwa hii leo na mazungumzo na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambapo amechagiza kuwepo na juhudi kubwa kuhakikisha eneo hilo linastawi katika usalama , demokrasia na maendeleo. Kutoka Bujumbura, Muandishi wetu wa maziwa makuu, Ramadhani Kibuga anatuarifu zaidi.

(Taarifa ya Ramadhani)