Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunataka mtazamo dhidi ya Afrika ubadilike: Dkt. Likwelile

Tunataka mtazamo dhidi ya Afrika ubadilike: Dkt. Likwelile

Mikutano ya mwaka ya shirika la fedha duniani, IMF na benki ya dunia, inafanyika wiki hii huko Washington DC nchini Marekani ikikutanisha magavana wa bodi za taasisi hizo mbili na wawakilishi kutoka nchi wanachama.

Katika mikutano hiyo masuala kadhaa hujadiliwa ikiwemo uhusiano kati ya nchi hizo na taasisi hizo ambazo zinasaidia kukwamua uchumi wa nchi zinazoendelea. Miongoni mwa washiriki ni Katibu Mkuu wa wizara ya fedha ya Tanzania Dkt. Servacius Likwelile, ambaye katika mahojiano maalum na idhaa hii amesema Afrika imekwenda na ujumbe maalum.

(Sauti ya Dkt. Likwelile)

Dkt. Likwelile amefafanua kuhusu hoja ya kuongezeka kwa deni la ndani la Taifa ikiwemo Tanzania.

(sauti ya Dkt. Likwelile)