Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Misaada ya Ebola yaanza kupokelewa: OCHA

Picha: WFP/ Frances Kennedy)

Misaada ya Ebola yaanza kupokelewa: OCHA

Tukisalia na Ebola ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu mausala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA imesema imepokea zaidi ya dola 250 millioni ikiwa ni sawa na asilimia 26 ya mahitaji yote ya fedha zinazohitajika ili kutokomeza ugonjwa huo ambazo ni dola milioni 988.

Akionge amjini Geneva Msemaji wa OCHA Jens Laerke amesema fedha hizo pamoja na mambo mengine zitalenga zaidi katika usaidizi kwa waathirika na kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ebola

(SAUTI JENS)