Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi zahitajika kupambana na malaria Tanzania

Roll back Malaria(RBM)Picha ya Benjamin Schilling/PSI

Juhudi zahitajika kupambana na malaria Tanzania

Juhudi zaidi zinahitajika katika kutekeleza lengo namba sita la maendeleo ya milenia linalojikita katika magonjwa ikiwamo ugonjwa wa malaria. Mathalani nchini Tanzania, ambako inaripotiwa kuwa ugonjwa huo umeenea hata maendeleo ambayo kwao ilikuwa hadithi pekee.

Ungana na Rashid Chilumba wa radio washirika radio SAUT ya Mwanza Tanzania katika makala inayomulika kuenea kwa ugonjwa katika baadhi ya mikoa nchini humo.