Inachotaka Afrika ni stahili yake kutokana na wajibu wake iliotimiza-Kikwete

24 Septemba 2014

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limeandaa mkutano wa kuangazia mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kupunguza Uchafuzi utokanao na Uharibifu wa Misitu, REDD huku bara la Afrika likitaka kuungwa mkono kwenye hatua ambazo tayari inachukua kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Wito huo wa Afrika umetolewa na Rais Jakaya Kikwete waTanzaniawakati hitimisho la mkutano wa mabadiliko ya tabianchi ambapo katika mahojiano maalum na Idhaa hii baada ya mkutano huo amesema tayari Afrika imeanza kuchukua hatua kwa hiyo…

(Sauti ya Rais Kikwete)

Rais Kikwete akatolea mfano wa matumizi ya mkaa na msaada ambao ambao Afrika inahitaji.

(Sauti ya Rais Kikwete)

 

♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter