Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jamii ya watu wa asili ni kielelezo katika matumizi endelevu ya rasilimali: Dkt. Mukhisa

Dr. Mukhisa Kituyi, Katibu Mtendaji wa UNCTAD. (Picha@UN/Jean-Marc Ferré)

Jamii ya watu wa asili ni kielelezo katika matumizi endelevu ya rasilimali: Dkt. Mukhisa

Jamii ya watu wa asili ni ni kielelezo cha matumizi endelevu ya rasilimali na hivyo mataifa na taasisi mbalimbali duniani yanapaswa kuhesimu mila na desturi za kundi hilo.

Akizungumza katika mahojiano maaluma na idhaa wakati wa kufungwa kwa mkutano wa jamii za watu asilia mjini New York Katibu Mkuu wa kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD Dk Mukhisa Kituyi amesema sasa ulimwengu unatambua umuhimu wa jamii ya watu wa asili katika sekta zote hususani maendeleo na hivyo

(SAUTI MUKISA)

Kadhalika Dk Mukhisa amesema UNCTAD inaitaka jumuiya ya kimataifa kuweka bayana sera za kuheshimu haki za jamii ya watu asilia kwa kuzingatia maendeleo endelevu.

(SAUTI MUKISA)