Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yasongesha harakati kuboresha afya ya uzazi

Mtoa huduma Janet Zulu akihudumia mja mzito.Picha/UNFPA/Georgina Smith

Tanzania yasongesha harakati kuboresha afya ya uzazi

Wakati malengo ya maendeleo ya milenia yakifikia ukomo wake mwaka 2015, nchi mablimbali zinajitahidi kutimiza malengo hayo manane ili kuleta ustawi katika jamii.

Lengo la tano ni kuboresha afya ya uzazi lengo ambalo miongoni mwa nchi zinazosongesha mbele juhudi za kulitimiza ni Tanzania. Nchi hiyo inafanya nini katika kutimiza lengo hili?

Ungana na Rashid Chilumba wa radio washirika Radio SAUT iliyoko Mwanza nchini humo