Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kufuatia vita kuendelea, njaa yaendelea kuwatesa raia nchini Sudani Kusini

Kufuatia vita kuendelea, njaa yaendelea kuwatesa raia nchini Sudani Kusini

Wakati suluhu ya mgogoro wa Sudani Kusini ikiwa haijafikiwa, raia husuani watoto ndiyo waathirika wakubwa wa mgogoro huo. Njaa inaaathiri kwa asilimia kubwa maisha ya raia nchini humo.

Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo inayoangazia athari za kiafya kwa raia nchini Sudani Kusini.