Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ethiopia imepiga hatua kwenye lengo la nne la maendeleo ya milenia

Kliniki ya afya ya Dosha , Ethiopia: Katika kipindi cha miaka mitatu tu, nchi iliongeza idadi zaidi ya mara mbili ya wafanyakazi wa afya, na vifo vya watoto wachanga ukapungua kwa kiwango kikubwa. Picha: Alamy / Kim Haughton

Ethiopia imepiga hatua kwenye lengo la nne la maendeleo ya milenia

Lengo la maendeleo la milenia nambari nne ni kupunguza kwa theluthi mbili vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, ifikapo 2015.

Tayari, duniani kote takwimu zinaonyesha kuwa vifo vya watoto vimepungua kwa asilimia 50. Barani Afrika, licha ya changamoto nyingi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu kwa kasi, baadhi za nchi ikiwemo Ethiopia zimejitahidi sana.

Je zimefanyaje?  Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.