Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Viwanja vya ndege Tanzania kuwa na mashine maalum kudhibiti Ebola Tanzania.

@WHO – T. Jasarevic

Viwanja vya ndege Tanzania kuwa na mashine maalum kudhibiti Ebola Tanzania.

Nchini Tanzania siku ya Alhamisi kulikuwepo na hofu ya Ebola baada ya wagonjwa wawili kulazwa katika hospitali moja jijini Dar es salaam wakihofiwa kuwa na ugonjwa huo. Kufahamu ukweli wa tukio hillo mwenzetu George Njogopa wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa jijini humo amezungumza na Katibu Mkuu wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwijaka ambaye ametolea ufafanuzi na kuelezea hatua zilizochukuliwa kujikinga dhidi ya Ebola ikiwemo udhibiti kwenye viwanja vya ndege.. Kwanza anaweka bayana..