Vijana wasikilizwe si washinikizwe cha kufanya: Balozi wa vijana
Lian Kariuki ni ambaye ni Balozi wa vijana duniani kupitia taasisi ya A World at School amezungumza na Idhaa hii katika mahojiano maalum na kueleza kile anachoona kuwa ni chanzo cha vijana kukumbwa na matatizo ya afya ya akili.
(Sauti Lian-1)
Lian akapendekeza cha kufanya kuondokana na tatizo hilo ikiwemo kuwasikiliza vijana kile wanachotaka.
(Sauti Lian-2)