Mapigano Sudan Kusini na machungu wapitiao watoto wa wakimbizi wa ndani
Katika nchi iliyochanga zaidi duniani ya Sudan Kusini, miaka mitatu baada ya Uhuru kumeukuwa na changamoto nyingi zikiwemo mapigano ambayo yamesababisha raia kukimbia makaziyaona kutafuta usalama kwenye kambi za hifadhi za mashirika za Umoja wa Mataifa. Kwenye makazi hayo vifo vya watoto wachanga ni baadhi ya mambo yanayoripotiwa kila uchao. Je nini kinafanyika? Basi ungana na John Ronoh katika makala hii.