Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa Benki ya dunia waleta nuru kwa wahanga wa ukatili wa kingono DRC

Wanawake katika hospitali inayofadhiliwa na benki ya dunia.Picha@WORLD BANK

Mradi wa Benki ya dunia waleta nuru kwa wahanga wa ukatili wa kingono DRC

Vitendo vya kubaka wanawake na kunajisi watoto vimekuwa ni silaha ya vita kwenye maeneo ya mzozo ikiwemo huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Wahanga wa vitendo hivyo huona kwamba ni mwisho wa maisha yao kutokana na unyanyapaa unaowakumba. Hata hivyo Benki ya dunia imepeleka nuru kwenye ukanda huo kupitia mradi wake na sasa kuna matumaini makubwa. Je nini kimefanyika?

Ungana na Assumpta Massoi kwenye makala haya.