Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mimba za utotoni ni changamoto inayokabili lengo la pili la upatikanaji wa elimu kwa wote

Picha@Mark Tuschman/UNFPA

Mimba za utotoni ni changamoto inayokabili lengo la pili la upatikanaji wa elimu kwa wote

Kuzidi kushadidi kwa mimba za utotoni katika maeneo mbali mbali Tanzania ni moja kati ya sababu ambazo zinakwamisha  katika kufikia lengo namba mbili la malengo la milenia ambalo ni upatikanaji wa elimu kwa wote.

(Makala ya Martin Nyoni wa radio washirika Radio Sauti,Mwanza Tanzania)