Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vikundi vya Saccos ni mbinu mojawapo ya kukabiliana na umaskini Tanzania

MDGS

Vikundi vya Saccos ni mbinu mojawapo ya kukabiliana na umaskini Tanzania

Nchini Tanzania vikundi vya kuweka na kukopa maarufu saccos vimemea miaka ya hivi karibuni, vikundi hivi ni sehehmu ya mipango ya serikali chini ya mkakati wa taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini mkukuta ulobuniwa mwaka 2005 kutimiza lengo la kwanza la millennia la kupambana na umaskini ulokithiri na baa la njaa.

(Makala ya Rashid Chilumba)