Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanafunzi Zanzibar wahamasishwa kuhusu ukatili wa kingono

Wanafunzi Zanzibar wahamasishwa kuhusu ukatili wa kingono

Katika kisiwa cha Zanzibar, shule za wilaya za Kaskazini A zimeunda vilabu shirikishi ili kujadiliana kuhusu ukatili wa kingono. Ameir Haji kutoka kituo cha vijana Zanzibar amehudhuiria uhamasishaji ulioandaliwa na mkuu wa idara ya Elimu wa wilaya hiyo.

Ni nini kilichofanyika? Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.