Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Upandaji miti Bulengo..GOMA, DRC

Picha@MONUSCO

Upandaji miti Bulengo..GOMA, DRC

Paza sauti yako na si kiwango cha maji ya bahari, ni maudhui yaliyochaguliwa mwaka huu kwa ajili ya kulinda mazingira ya sayari ya dunia ili kuepusha nchi za visiwa vidogo kumezwa na maji ya bahari. Maudhui hayo yanatekelezwa kila kona ya dunia ikiwemo kwenye kambi za wakimbizi wa ndani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Wakimbizi wa ndani chini ya uongozi wa MONUSCO wamechukua hatua kwa faida ya mazingira wanamoishi na kwa faida yao wenyewe.

Je wamefanya nini? Ungana na Assumpta Massoi kwenye makala haya.....