Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuelekea uchaguzi, Burundi izingatie haki za binadamu:Simonovic

Ivan Šimonović, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UM kuhusu masuala ya haki za binadamu. (Picha@Sarah Fretwell)

Kuelekea uchaguzi, Burundi izingatie haki za binadamu:Simonovic

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu yuko nchini Burundi kuangazia hali ya haki za binaadamu nchini humo, mwaka mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi Mkuu. Kutoka Bujumbura Mwandishi wetu Ramadhani KIBUGA anatuarifu zaidi.

(Taarifa ya Kibuga)