Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

"Kimbilio la wanyonge" laokoa watoto Swaziland

Bibi Khanyisile na kundi la watoto @UNICEF/Youtube

"Kimbilio la wanyonge" laokoa watoto Swaziland

Nchini Swaziland, theluthi moja ya wanawake wameathirika na ukatili wa kingono, lakini wachache sana wanaripoti kesi hizo. Ili kupambana dhidi ya ukatili huo na kusaidia watoto kuondolewa na hofu ya kuzungumza wazi mambo hayo, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limesaidia kwa kufadhili mradi wa jamii unaoitwa Lihlombe Lekukhalela na tayari limefanikiwa kuwezesha zaidi ya wahamishaji 10,000 nchini humo. Jiunge na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.