Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usindikaji wa kimataifa unakua tena, ingawa chumi maskini bado mashakani

Usindikaji wa kimataifa unakua tena, ingawa chumi maskini bado mashakani

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Usindikaji wa kimataifa umefikia tena kiwango cha ukuaji imara, baada mdororo wa muda mrefu, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Ustawi wa Viwanda, UNIDO.

Ripoti ya UNIDO iliyotolewa leo, imesema usindikaji wa kimataifa ulikua kwa asilimia 5.1 katika robo ya kwanza ya mwaka 2014, kikiwa ndicho kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka mingi

Ukuaji huo umetokana na kuimarika kwa hali ya kifedha katika nchi zilizistawi kiviwanda, hususan barani Ulaya. Hata hivyo, ripoti imesema chumi zinazoibuka bado zinashuhudia ukuaji wa kiwango cha chini, isipokuwa China.

Nchi zilizostawi zinachangia takriban thuluthi mbili za thamani iongezwayo kupitia usindikaji, na ukuaji katika nchi hizo unachangia kwa kiasi kikubwa usindikaji wa kimataifa.