Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasikitishwa na watoto kubaniwa kwenye ghasia za Ukraine

UNICEF yasikitishwa na watoto kubaniwa kwenye ghasia za Ukraine

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuwa watoto 7 wamepata majeraha ya risasi na mengineyo wakati wa machafuko Mashariki mwa Ukraine tangu Mei 9.

UNICEF imesema katika kisa kimoja, mtoto wa umri wa miaka 15 alipigwa risasi kwenye kizuizi cha barabarani akiwa ndani ya gari, na kwamba ana majeraha tumboni na katika hali mahtuti.

UNICEF imeelezea kusikitishwa na kuongezeka kwa ghasia hivi karibuni, na kwamba ghasia hizo zinaathiri mno watoto. Imeongeza kuwa Hospitali ya Watoto ya Donetsk imefungwa na watoto wamekuwa wakizuiwa kwenda shule katika baadhi ya maeneo ya mji.

Tathmini ya haraka ya UNICEF imeonyesha kuwa  takriban nusu ya watoto waliochunguzwa wamekumbana na ghasia au kitendo cha kutia hofu. Shirika hilo limetoa wito ghasia zikomeshwe mara moja, na kuyataka makundi yote husika yawalinde watoto.