Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bado tuna hofu na mpango wa nyuklia DPRK, Syria nako hakuna ushirikiano:IAEA

Yukio Amano,Mkurugenzi Mkuu wa IAEA. (Picha@UN Maktaba)

Bado tuna hofu na mpango wa nyuklia DPRK, Syria nako hakuna ushirikiano:IAEA

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kimataifa la nishati ya atomiki IAEA Yukia Amano leo ametoa ripoti yake kwa bodi ya magavana wa shirika hilo ambapo pamoja na mambo mengine ametoa muhtasari wa masuala yatokanayo na uthibitishaji na ukaguzi wa silaha za nyuklia huko Iran, Syria, na Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK.

Katika ripoti hiyo amesema bado wana hofu kubwa kuhusu mpango wa nyuklia wa DPRK tangu wakaguzi wa IAEA walipotimuliwa miaka mitano iliyopita lakini amesema bado wako tayari kushirikiana na nchi hiyio kuthibitisha mpango huo.

Kuhusu Iran amesema..

(Sauti ya Amano)

Iran imeshirikiana na shirika kwa ufasaha na hii imetusaidia kuelewa vyema mpango wake wa nyuklia, kwa sasa tunachambua taarifa ilizotupatia. Makubaliano ya Iran ya tarehe 20 Mei ya kutekeleza mambo mengine matano zaidi ni hatua nyingine zaidi ya kuungwa mkono.”

Amano ameeleza bodi kuwa utekelezaji wa mkataba wa kudhibiti nyuklia huko Syria, hauna maendeleo dhahiri tangu taarifa yake ya mwisho kwa bodi hiyo na amarejelea wito kwa serikali kushirikiana na IAEA kwenye masuala ambayo hayapatiwa ufumbuzi ikiwemo eneo la Dair Alzour na kwingineko.