Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Twarekebisha tabia za watendaji kuimarisha ulinzi wa amani: ASP Edith Swebe

Edith Martin Swebe, Mshauri wa Polisi, UNAMID. (Picha@UNAMID)

Twarekebisha tabia za watendaji kuimarisha ulinzi wa amani: ASP Edith Swebe

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Suala la ulinzi wa amani lina wigo mpana kwani baadhi ya watu hupata taswira ya askari wanaohusika na ulinzi wa amani pekee. Hata hivyo kuna watendaji wengine wanaowezesha jukumu hilo kufanyika vyema na miongoni mwao ni Edith Martin Swebe, Mrakibu Msaidizi wa Polisi kutoka Tanzania ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Polisi kwenye ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Dafur, Sudan, UNAMID. Edith amehudumu tangu mwaka 2012 na katika mahojiano na Assumpta Massoi wa Idhaa hii amezungumzia jukumu lake la kusaidia kurekebisha tabia za walinda amani wawe ni wanajeshi, polisi au raia. Hapa anaanza kwa kuelezea kwa kina majukumu yake..