Kampeni ya Mtoto kwa Mtoto ni jawabu sahihi la vita dhidi ya Polio Kenya

30 Mei 2014

Tangu kugundulika kwa polio nchini Kenya mwezi Mei 2013 UNICEF imebuni mikakati kuhakikisha kwamba watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wanachanjwa dhidi ya ugonjwa wa Polio. Kupititia mradi  uitwao Mtoto kwa Mtoto, ambao unawashirikisha wanafunzi katika vita dhidi ya Polio Kampeni imeanza kuleta mafanikio. Je, ni yapi hayo? Hivi basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo…..

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter