Kampeni ya Mtoto kwa Mtoto ni jawabu sahihi la vita dhidi ya Polio Kenya

@picha ya unifeed
Tangu kugundulika kwa polio nchini Kenya mwezi Mei 2013 UNICEF imebuni mikakati kuhakikisha kwamba watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wanachanjwa dhidi ya ugonjwa wa Polio. Kupititia mradi uitwao Mtoto kwa Mtoto, ambao unawashirikisha wanafunzi katika vita dhidi ya Polio Kampeni imeanza kuleta mafanikio. Je, ni yapi hayo? Hivi basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo…..