Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali yachukua hatua kukomesha uharibifu wa misitu:Uganda

Ukataji wa miti Uganda Picha ya UM/Kiswahili

Serikali yachukua hatua kukomesha uharibifu wa misitu:Uganda

Ukataji wa miti ni changamoto katika juhudi za utunzaji wa misitu hususan katika nchi zinazoendelea kwa sababu ya watu hukata miti kwa ajili ya kupata kuni, mbao na mahitaji mbali mbali. Athari za ukataji miti ni nyingi na katika hatua za kukomesha ukataji miti haramu serikali zinachukua hatua mbali mbali mfano ni nchniUgandabasi ungana na  John Kibego wa Radio washirika ya Spice FM, nchini humo.