Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa unyunyuziaji maji ni mkombozi kwa kilimo Tanzania

Mkulima Cecilia Williams akiwa shambani picha@IFAD

Mradi wa unyunyuziaji maji ni mkombozi kwa kilimo Tanzania

Katika juhudi za kuimarisah kilimo nchini Tanzania mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania inaendesha mradi wa unyunyuziaji maji kwa sababu ya kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kuendesha shughuli za kilimo kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa maji toshelezi uliokuwa ukishuhudiwa hapo awali. Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo inayolenga wakulima mbali mbali ambao maisha yamebadilika kufuatia upatikanaji wa maji.