Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO yaimarisha mfumo wa Kilimo katika muktadha wa mabadiliko ya tabia nchi

@FAO/Tanzania

FAO yaimarisha mfumo wa Kilimo katika muktadha wa mabadiliko ya tabia nchi

Madadiliko ya Tabia Nchi ni changamoto kwa wakulima wa nchi zinazoendelea, wakikumbwa na ukosefu wa mvua za kutosha, upatikanaji wa kunj ya kupikia au mmomonyoko wa ardhi. Nchini Tanzania, katika kijiji cha Kiroka, mkoa wa Morogoro, Shirika la Chakula na Kilimo FAO limeanzisha mradi shirikishi unaolenga kubadilisha mfumo mzima wa kilimo na utumiaji wa maliasili. Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.