Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mafunzo kupitia shamba darasa yamebadili maisha ya wakulima:Zanzibar

Ufugaji wa kuku

Mafunzo kupitia shamba darasa yamebadili maisha ya wakulima:Zanzibar

Kilimo ni mojawapo ya njia ya kukabiliana na umaskini. Wakati mwingi kiwango cha mazao huathiriwa na ukosefu wa mafunzo kwa wakulima, katika juhudi za kutatua tatizo hilo mfuko wa maendeleo ya kilimo IFAD umeendesha mafunzo kwa wakulima visiwani Zanzibar nchini Tanzania basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo amabapo maisha ya familia mbali mbali yameimarika kufuatia mafunzo waliopata na kuzingatia katika kilimo