Huduma za maji na kujisafi bado hazipatikani kwa usawa

UN Photos
@

Huduma za maji na kujisafi bado hazipatikani kwa usawa

Huduma ya maji safi inasalia Kuwa changamoto kubwa hasa katka nchi zinazoendelea idadi kubwa ikiwa ni nchi zilizoko barani Afrika. Hudum hii adhimu inapopatikana inachangia katika kuimarisha usafi, afya na maisha ya watu. basi ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.