Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mzozo wa Sudan Kusini unahatarisha hakikisho la chakula

Mzozo wa Sudan Kusini unahatarisha hakikisho la chakula

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mzozo unaoendelea nchini Sudan Kusini umepelekea watu kukimbia makwao huku wengine wakitafuta hifadhi katika kituo cha asakri wa  kuweka amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS. Kambini mahitaji ni mengi ikiwemo mahitaji ya chakula na bidhaa za kukidhi mahitaji ya kila siku.

Shirika la chakula duniani WFP linaendesha shughuli za kuhakikisha kwamba wakimbizi wanapata chakula. Basi ili kupata taswira ya hali ilivyo ungana na Priscilla Lecomte katika makala ifuatayo.