Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakazi wa Mto Tana watoa ushuhuda wa faida za unyonyeshaji watoto wao

unyonyeshaji

Wakazi wa Mto Tana watoa ushuhuda wa faida za unyonyeshaji watoto wao

Unyonyeshaji wa ziwa la mama kwa mtoto tangu anapozaliwa ni jambo ambalo Umoja wa mataifa linapigia chepuo kila uchao kwani hatua hii inaimarisha siyo tu afya ya mtoto bali pia ya mama anayenyonyesha. Unyonyeshaji waelezwa pia hutuhumika kama njia ya uzazi wa mpango. Nchini Kenya, faida za unyonyeshaji watoto ziwa la mama sasa ziko dhahiri na wakazi eneo la Mto Tana ni mashuhuda! Je wamenufaika nini? Ungana na Assumpta Massoi kwenye makala hii.