Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Filamu sasa imekubalika katika kuendeleza jamii:Kenya

Filamu sasa imekubalika katika kuendeleza jamii:Kenya

Leo tarehe Aprili 26 ni siku ya hakimiliki duniani kauli mbiu ya mwaka huu ni, Msisimko wa dunia! Shirika la hakimiliki duniani, WIPO linasema kwamba filamu zinatumika kusaidia jamii katika masuala ya kijamii, kielimu na pia kuwapa burudani .Sekta ya filamu katika nchi nyingi inakabiliwa na changamoto nyingi katika kujaribu kuimarisha jamii kupitia filamu basi ungana na Grace Kaneiya wa Idhaa hii katika mahojiano na Timothy Owase Meneja wa matamasha na fedha katika Halmashauri ya Filamu nchini Kenya kupata taswira ya hali ya sekta ya filamu ilivyo nchini humo.

(MAHOJIANO)