Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Teknolojia inadidimiza tasnia ya filamu Tanzania: Mcheza filamu

Teknolojia inadidimiza tasnia ya filamu Tanzania: Mcheza filamu

Kesho ikiwa ni siku ya kimataifa ya haki miliki ambapo shirika lenye dhamana na haki miliki, WIPO linangazia haki za waandaaji , waandishi na  waigizaji wa filamu, mcheza filamu mashuhuri nchini Tanzania Jacob Steven maarufu kwa jina la Jaby Bee amesema kukuwa kwa teknolojia nchini kunadidimiza tasnia hiyo

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Jay Bee amesema licha ya teknolojia kunufaisha tasnia hiyo lakini

(SAUTI JAY BEE)

Kadhalika mcheza filamu huyo nguli amezungumzia nini kifanyike

(SAUTI JAY BEE)