Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wa Tanzania wapata kituo cha kujifunza kuhusu kazi za Umoja wa Mataifa

Vijana wa Tanzania wapata kituo cha kujifunza kuhusu kazi za Umoja wa Mataifa

Vijana wa Tanzania Zanzibar wanakabiliwa na uelewa mdogo kuhusu jinsi Umoja wa Mataifa unavyofanya kazi. Hayo yamesemwa na mratibu wa vijana wa chama cha Umoja wa Mataifa. visiwani humo Ame Haji Vuai. Ili hakikisha vijana hawa wanapata taarifa kwa wakati kuhusu kazi za Umoja huo, kituo kipya cha vijana kimefunguliwa leo huko Zanzibar. Hapa katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa Bwana Haji anaeleza umuhimu wa kituo hicho:

(MAHOJIANO NA AME HAJI)