Maadhimisho ya 54 ya jeshi la Somalia

17 Aprili 2014

Nchini Somalia kumefanyika sherehe ya 54 ya maadhimisho ya jeshi la Somalia. Jeshi la Somalia ambalo liliwahi kujulikana kama jeshi bora zaidi barani Afrika lilisambaratika mwaka 1991. Baada ya miongo miwili ya vita wakati taifa hili likijikwamua kutokana na minyororo ya vita kumekuwa na juhudi za kuimarisha jeshi la taifa hilo basi ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter