Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa na washirika wapambana na ukatili dhidi ya wanawake Kosovo

Umoja wa Mataifa na washirika wapambana na ukatili dhidi ya wanawake Kosovo

Ukatili dhidi ya wanawake ni jinamizi ambalo linaiandama dunia mpaka wakati huu wa karne ya 21. Hata hivyo nchi tofauti zinasikia kilio cha wanawake na jamii kwa ujumla na hivyo hatua zimepigwa. Nchini Kosovo ukatatili dhidi ya wanawake ni jambo ambalo lilikuwa linachukuliwa kama kawaida.

Lakini kuna habari njema kufuatia jitihada za Umoja wa Mataifa na vituo vinavyo wapokea manusura wa ukatili huo basi ungana na Assumpta Massoi katika makala ifuatayo