Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E.

Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E.

Katika sehemu yetu ya pili na aya mwisho ya kujifunza homa ya ini , leo tunaangazia hepatitis C na E. Je magonjwa haya inaambukizwa vipi? Kinga zake ni zipi? Na je vipi kuhusu tiba zake?

Ungana na Dk Vida Makundi, mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa nchiniTanzaniaambaye katika mahojino na Joseph Msami anaeleza pia namna Hepatitis C ianvyowezwa kudhibitiwa kutokana na muongozo uliotolewa na shirika la afya ulimwenguni WHO.

 (SAUTI DK VIDA)