Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuna mengi ya kujifunza, viongozi nchi zinazoendelea hukwamisha mipango miji: Mshiriki WUF7

Kuna mengi ya kujifunza, viongozi nchi zinazoendelea hukwamisha mipango miji: Mshiriki WUF7

Mmoja wa washiriki katika kongamano la saba la Kimataifa kuhusu Makazi ya Mijini, mshiriki kutoka Kenya Suzan Araka amesema kuna mengi ya kujifunza katika mji unakofanyika mkutano huo Medellin husuani suala la miundo mbinu ya barabara.

Katika mahojino kwenye mabanda ya maonesho Bi Akara amesema kikwazo kikubwa katika upangaji bora wa miji katika nchi zinazoendelea ni kukosekana kwa utashi wa viongozi.

Ungana na Joshua Mmali aliyemtembelea mshiriki huyu katika banda la maonesho

(SAUTI MAHOJIANO)