Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kila dakika mwanamke hubakwa DRC

Kila dakika mwanamke hubakwa DRC

Ubakaji na ukatili wa kingono ni vitendo vya kihalifu ambavyo vinaendelea kutajwa huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC nchi ambayo imekabiliana na machafuko kwa muda mrefu.

Matendo hayo ambayo ni ukiukwaji wa haki za biandamu yanaripotiwa zaidi mashariki mwa DRC  ambako jamii inaendelea kuteseka kwa vita. Ungana na Prscilla Lecomte katika makala ifuatayo.