Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yaeleza mkakati wake wa kuboresha miji

Tanzania yaeleza mkakati wake wa kuboresha miji

Mkutano wa saba  kuhusu mipango miji ukiwa unaendela mjini Medellin nchini Colombia, serikali ya Tanzania imesema inatekeleza mradi maalum wa kuboresha makazi duni ili kutimiza usawa katika makazi mijini.

Mmoja wa wawakilishi wa Tanzania Hellena Mtutwa ambaye ni msajili wa bodi ya wataalamu wa mipango miji  amemweleza Joshua Mmali wa idhaa hii kuwa mpango huo unalenga kuboresha makazi nchini humo

(SAUTI )